Mimi nashabikia Arsenal... Madrid ni "by the way" tu.
Oohh kwahiyo kwa Spain wewe uko upande wa Los Blancos na siyo Blaugrana??
Sent using Jamii Forums mobile app
Arsenal; Madrid, kibibi kizee cha Torino juventus. Simba sport tanzania
Naam, mimi ni mshika bunduki kule London, ilà kwa Spain tangu enzi za Hierro nilikuwepo.Oohh kwahiyo kwa Spain wewe uko upande wa Los Blancos na siyo Blaugrana??
Sent using Jamii Forums mobile app
Bonne nuitUsiku mwema ndugu zanguniView attachment 1296708
[emoji23][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hebu nisimulie nione aibu!!
Huyo aseno, hawezi kusupport Barca
Arsenal; Madrid, kibibi kizee cha Torino juventus. Simba sport tanzania
Gracias[emoji120]Bonne nuit
Naam, mimi ni mshika bunduki kule London, ilà kwa Spain tangu enzi za Hierro nilikuwepo.
Toa sababu mbili za kuthibitisha statement yako.Hahahaha kama wewe ni Arsenal basi nina imani wifi yangu amepata mume mwema
Sent using Jamii Forums mobile app
Sinaga nyingi, it's Arsenal, Madrid na Leeds United
Hizi zangu kabisa toka miaka ile ya 96 ndipo nilipo anza ushabiki wa hizi team
FT
Mzee mwenzangu...utakuwa ulipendezwa na Leeds ya kina Radebe kile kikosi cha O'LearySinaga nyingi, it's Arsenal, Madrid na Leeds United
Ewaaaa, mkuu don't tell me ulikuwepo enzi zetu..Mzee mwenzangu...utakuwa ulipendezwa na Leeds ya kina Radebe kile kikosi cha O'Leary