Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 56,078
- 56,211
Nilijua tu πUkaamua utuoneshe wallpaper ya "infinix" yako.
Mi nishaweka marudio jumamosi!Seran hebu tuwekee picha basi bi mzuri! Mbona wanawake wazuri JF mnaringa sana!!!
Hebu nibless nakaribia kulala!Napita tena naked kama bango
Yaan nimepita naked unataka maboresho???Tuboreshee basi
Mi nishaweka marudio jumamosi!
Km dk 15 zimepitaAcha basi! Umeweka lini?
HatukuwepoKm dk 15 zimepita
HajawekaKumbe wewe ni muongo namna hii! Eti spidernyoka, huyu ameweka picha?
Rangi achana nayo, mimi ni black mamba πΉπChica kwanini unatoa rangi?
Wengine tupo "obsessed" na rangi jameni, mimi mtu awe vyovyote vile ila awe na ka rangi, aisee.
UshasinziaHebu nibless nakaribia kulala!
Eti black mambaRangi achana nayo, mimi ni black mamba πΉπ
Nisaidie kufuta hii Comment yako ili picha ipotee plz
Si ndiyo ye Rangi aachane nayo afocus na vitu vingineEti black mamba
Haipo hio pichaRangi achana nayo, mimi ni black mamba πΉπ
Nisaidie kufuta hii Comment yako ili picha ipotee plz
Rangi ndio ugonjwa wetuSi ndiyo ye Rangi aachane nayo afocus na vitu vingine
Bora iwe hivyo maana, ni picha ya hivi karibuni naogopa sana kujulikana humu π πHaipo hio picha
Kiufupi mmeyakanyaga mimi ni Black MambaRangi ndio ugonjwa wetu
πBora iwe hivyo maana, ni picha ya hivi karibuni naogopa sana kujulikana humu π π