Selfika na JF: Snap it. Show it

Tunaenda naye ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Yani chino na binti yako huambiwi kitu, utakua kama Shetta na Kayla..

Nimependa bond yenu baba na mtoto ๐Ÿ˜
Huyu vidume baadaye kumdanganya wafanye kazi..!!
Dogo namzingatia sana natizima wajibu aje afeli tu yeye; Mimi nilisoma shule za vidumu na maji ye nime muanzishia kindagarten huko napasuka si chini ya 2m. Anacho nipa moyo ninaona zipo nyingi kama baba ake.

Hapo ni shule jioni anakuja ostazi home anakula madrasa
 
NNilikuambia siku nikikuona mtaani nakuita๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿคฉunakaaaa poaaaaa๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿฅณ๐Ÿฅณ๐Ÿฅณ๐Ÿฅณ
Kuniona ndo mtiti
 
Ameen!!
Haha rangi adimu kama iyo yako.
 
Hapo umefanya vizuri, wewe sasa ndo unajua kulizingatia bao lako..!!

Sio kina baba jina, wanajua kukojoa hovyo hovyo kulea aahh..!! Mpaka wapelekwe polisi.

Hapo madrasa sio mbaya sababu kwa malezi ya bongo tunazihitaji imani za dini ili kutishia watoto wasichetuke..!! Japo na mzazi una mchango mkubwa..!!

Mi nilikua naogopa kufanya uhalifu wowote naona Mungu ananiona na shetani atanikamata anipeleke motoni.
Imenisaidia sana mpaka sasa hivi hata kama siamini tena issue za dini lakini kuna baadhi ya mambo imekua mazoea naji limit..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ