Selfika na JF: Snap it. Show it

Dahh maneno yako tu yanaonekana unapenda amani sio mtu wa vita basi sawa usibadilishe tabia yako kwa sababu ya wao.
Yes Kapachino napenda amani mnoo si unaona hata sura yangu ya upoleee😊
Nimekua nikijiuliza mbingu Ina malaika wangapi? Maana mmoja ameshuka hapa selfika.
Sheynziiiiiiii wewe lol πŸ˜†
Nikichokozwa nakua ibilisi we haya 🀣
Exactly ya nini kutunza vinyongo kwenye jukwaa dogo kama hili badala ya kutunza sasampa we uliona wapiii😁

Kapachino haya pita sasa nikuone chap kwa haraka
 
😹😹😹 kuna nini chino?
Mbona mnataja ban?
 
😹😹😹 Ko nimelanduka?
 
Yes Kapachino napenda amani mnoo si unaona hata sura yangu ya upoleee😊
Hahaha embu niione vizuri
Sheynziiiiiiii wewe lol πŸ˜†
Nikichokozwa nakua ibilisi we haya 🀣
Wakikuchokoza Allah tabarak aendelee kukupa ustahimilivu;

unajua watu mliojaliwa nyama nyama mna vifua na roha hampaniki haraka
Exactly ya nini kutunza vinyongo kwenye jukwaa dogo kama hili badala ya kutunza sasampa we uliona wapiii😁

Kapachino haya pita sasa nikuone chap kwa haraka
Thursday Leo usijali tbt za kutosha
 
Hahaha embu niione vizuri

Wakikuchokoza Allah tabarak aendelee kukupa ustahimilivu;

unajua watu mliojaliwa nyama nyama mna vifua na roha hampaniki haraka

Thursday Leo usijali tbt za kutosha
Tupia basi sasa hivi kijana mdogo
 
Huyo mtu hiyo siku naomba msipopoane mpaka refa niwepo puliiiiizz 😹😹😹

Mi najua lazima itatokea ni suala la muda tu!

Wote mna sumu moyoni, mzitoe muwe free..!!
 
Njoo tulale mchuchu 😹😹
😍πŸ”₯πŸ”₯ hapa ndio hitwa kwa bed et
Huyo mtu hiyo siku naomba msipopoane mpaka refa niwepo puliiiiizz 😹😹😹

Mi najua lazima itatokea ni suala la muda tu!

Wote mna sumu moyoni, mzitoe muwe free..!!
Umdhaniae ndie sie ujue heaven gelo 🀣 huyo mtu hutaamini macho yako

Sio huyo unaemfikiria kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…