Kapachino JF-Expert Member Joined May 23, 2019 Posts 4,171 Reaction score 10,102 35 minutes ago #434,861 Mtoto halali na hela said: Ngoja aamke Click to expand... Kwani Dubai sasa hivi saa ngapi
Seran JF-Expert Member Joined Feb 7, 2025 Posts 36,906 Reaction score 106,200 9 minutes ago #434,862 Mtoto halali na hela said: Toka nazaliwa vipo Click to expand... Basi niko njiani
Seran JF-Expert Member Joined Feb 7, 2025 Posts 36,906 Reaction score 106,200 8 minutes ago #434,863 Kapachino said: Kweli wengine walione Mimi nisilione ni haki kweli iyo haha Click to expand... Chino huo umri nini hujaona?
Kapachino said: Kweli wengine walione Mimi nisilione ni haki kweli iyo haha Click to expand... Chino huo umri nini hujaona?
ShesRise_1 JF-Expert Member Joined Aug 21, 2025 Posts 22,618 Reaction score 51,908 3 minutes ago #434,864 Kapachino said: Kuyamaliza hamuwezi! Click to expand... Sasa tumalize nini Mi sina shida na mtu ukiona sielewani na mtu yeye ndio ana shida na mimi hilo nina uhakika Sijawahi kumsema mtu kwa ubaya wala kudhamiria kumsema mtu vibaya Sasa hii haina maana kua mimi mnyonge sipendi tu uswahili na magomvi yasio maana Kapachino said: Au Kila mtu ana egle nani amuanze mwinzie? Click to expand... Sahau sijawahi kuanzisha mgogoro labda nianzwe na hata nikianzwa muda mwingine hua na escape Kapachino said: Alafu hizi bifu nyingi zipo sana kwa ke jf, au we sio ke mwenzio ni njemba! Click to expand... Sina bifu na mtu kabisa Awe ke au me napenda amani itawale Ndio maana utakuta nakemea ma umbeya na ugomvi Tuna mambo mengi ya kufanya Kapachino said: Ukipigwa burn chino atakupatia wapi tena? haha Lamomy mwenyewe haelewiki Kuna siku anaamka kapuliza ntakua nakimbilia wapi Click to expand... Sitapigwa bani bana 😊 MF : huyo mkeo mkubwa majuzi kati huko siasi tulitofautiana mitazamo Lakini after hapo life linasonga Kama hakuna kilichotokea
Kapachino said: Kuyamaliza hamuwezi! Click to expand... Sasa tumalize nini Mi sina shida na mtu ukiona sielewani na mtu yeye ndio ana shida na mimi hilo nina uhakika Sijawahi kumsema mtu kwa ubaya wala kudhamiria kumsema mtu vibaya Sasa hii haina maana kua mimi mnyonge sipendi tu uswahili na magomvi yasio maana Kapachino said: Au Kila mtu ana egle nani amuanze mwinzie? Click to expand... Sahau sijawahi kuanzisha mgogoro labda nianzwe na hata nikianzwa muda mwingine hua na escape Kapachino said: Alafu hizi bifu nyingi zipo sana kwa ke jf, au we sio ke mwenzio ni njemba! Click to expand... Sina bifu na mtu kabisa Awe ke au me napenda amani itawale Ndio maana utakuta nakemea ma umbeya na ugomvi Tuna mambo mengi ya kufanya Kapachino said: Ukipigwa burn chino atakupatia wapi tena? haha Lamomy mwenyewe haelewiki Kuna siku anaamka kapuliza ntakua nakimbilia wapi Click to expand... Sitapigwa bani bana 😊 MF : huyo mkeo mkubwa majuzi kati huko siasi tulitofautiana mitazamo Lakini after hapo life linasonga Kama hakuna kilichotokea