Selfika na JF: Snap it. Show it

Binadamu wanaposhindwa kukufikia kwa hoja, wanajaribu kukushusha kwa maneno!!

She hivi she vile? Inakuja kama umeruhusu watu wakujue nje ya hapa na kama ulifanya iyo mistake never do it again! Hata ukiruhusu mara ya pili kwa wingine trust me ipo siku utaleta shuhuda nyingine.

Kwanza sasa hivi watu wanatekwa sana wanapotea sana. Kuna jamaa mmoja kauliwa huko Arusha wanadai na dada mmoja aliyemuamini anaitwa Jojo walikutana TikTok huko.

Alafu na usikae kinyonge haha imbinu nyingine chukua, ukikaa kinyonge utapopolewa sana Kuna mda randuka tu kama Lamomy
 
Binadamu wanaposhindwa kukufikia kwa hoja, wanajaribu kukushusha kwa maneno!!
Exactly πŸ‘
She hivi she vile? Inakuja kama umeruhusu watu wakujue nje ya hapa na kama ulifanya iyo mistake never do it again! Hata ukiruhusu mara ya pili kwa wingine trust me ipo siku utaleta shuhuda nyingine.
Noted βœ…οΈ
Kwanza sasa hivi watu wanatekwa sana wanapotea sana. Kuna jamaa mmoja kauliwa huko Arusha wanadai na dada mmoja aliyemuamini anaitwa Jojo walikutana TikTok huko.
Inasikitisha tumefika pabaya sana 😒
Alafu na usikae kinyonge haha imbinu nyingine chukua, ukikaa kinyonge utapopolewa sana Kuna mda randuka tu kama Lamomy
Hili nakuahidi kuna mtu mmoja siku akiingia kwenye 18 hiyo siku nitapigwa bani ya maisha total kukanyaga JF

Hua najiepusha sana kumuongelea mtu binafsi kwa ku m attack mambo binafsi ila kwa huyo mtu sitakua na msalie mtume no matter what

Nitakua tayari liwalo na liwe

Naombea yote hayo yasitokee kwa sababu hizo sio njia zangu

My heart is very clean like snow kwa mtu yoyote yule sina wivu sina chuki
Ila nitajilinda kwa namna yoyote ile nikiona tishio
 
Kuyamaliza hamuwezi!

Au Kila mtu ana egle nani amuanze mwinzie? Alafu hizi bifu nyingi zipo sana kwa ke jf, au we sio ke mwenzio ni njemba!

Ukipigwa burn chino atakupatia wapi tena? haha Lamomy mwenyewe haelewiki Kuna siku anaamka kapuliza ntakua nakimbilia wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…