Selfika na JF: Snap it. Show it

Chino nimekua mkweli kupitiliza

Nimekua jf mda sasa, lakini ni mara ya kwanza namuona mdada anaandika na akili na utulivu kama wewe. Naomba nikuibie akili kidogo
Unataka kusema kujawahi kuona tena mdada anaandika kwa utulivu kama mimi ya kweli hayo chino ?

Au ndio uzuri wa kitu upo machoni mwa anaetazama ?

Hayo maneno yako tayari unazua taharuki shauri yako kijana
 
Unataka kusema kujawahi kuona tena mdada anaandika kwa utulivu kama mimi ya kweli hayo chino ?

Au ndio uzuri wa kitu upo machoni mwa anaetazama ?

Hayo maneno yako tayari unazua taharuki shauri yako kijana
Nafikiri unapaswa kupewa tuzo za jf watu wengi wanapost ili watu wacheke wewe unapost ili watu wafikiri. Nakufikiri ni ngumu kuliko kucheka ndiomana umewapita wote.

Si kwa sababu Unaandika threads nyingi ila kwa sababu zina maana

Wengi wamekuja kutafuta umaarufu wewe umekuja na heshima

Haha ngoja niishie hapa.
 
Chino, shukran sana
Siwezi ku pretend kwamba sijapenda comment yako

Honestly nimefurahishwa sana na mtazamo wako juu yangu
Maoni yako nimeyapokea kwa wivu mkubwa sana

Umeona mazuri yangu na kuyasema, wakati baadhi ya watu wanajaribu kufukunyua yale wanayoona ni mabaya ili kunishusha

Shes hivi, Shes vile... Naangalia naishia kusikitika tu
Kwa sababu najua no one is perfect from every angle

Hala hala lakini kunisifia kunijitafuta vawulensi usije kusema sikukuambia

Thank you for appreciating me. ❤️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…