Selfika na JF: Snap it. Show it

😹😹😹 Una offer nzuri, sasa wewe tuma hizo dollar 4000 zote kwanza tujazie mzigo wa vijora. Halafu tutapanga hiyo road trip na Uzuri dereva nipo, ukichoka nakusaidia kulipush hilo discovery..!!
tajiri unaniona kama matter core yako sio? 😁 Daah

we twenzetu bhana tunakaa 7 nights kisha tunarudi wepes kabisa
 
tajiri unaniona kama matter core yako sio? 😁 Daah

we twenzetu bhana tunakaa 7 nights kisha tunarudi wepes kabisa
😹😹😹 Tuma mzigo huo kwanza nishtue umaskini huku.!!
Sijui nianze kuruka na yupi hapo?
Najua kwa Chanel sikosi slipper kwa hiyo dollar 4000 πŸ”₯
 

Attachments

  • IMG_7123.jpeg
    441.7 KB · Views: 1
Hakuna jipya chini ya jua lakini
Manyanza ungekua mwanamke wewe ungekua hatari..!! 😹😹

Nna binamu yangu ananivunjaga mbavu, anasema yeye angekua mwanamke asingekataa mtu. Mwenye laki twende, elfu 20 hadi elfu 10 haachi kikubwa hawaondoki nacho 😹😹😹

Nikamuuliza, hivi unafikiri ni rahisi kama unavyosema?
Unaweza kuzionyesha sehemu zako za siri kwa kila mtu?
 
Na isingetokea mimi kuwa mwanamke hata leo hii wenye vihela vyao huwa nawazingua tu sifagilii makunyanzi kwa sababu path yangu naijua vyema πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…