Selfika na JF: Snap it. Show it

kweli wanawake hamjui magari 😁 December stokua Bongo wew Ijumaa twenzetu Lusaka hamna hata haja ya passport tajiriπŸ”₯
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ we Lamomy kasafishe macho halafu ukafanya cache clearing ya mambo ya kiwaki yanayoendelea hapa Bongo ukirudi uwe na fresh mind.

Mfalme usisahau kufanya compensation ya vijora vyake ukienda naye 🀣
 
bora wew umwambie pengine atakusikiliza 😁

Vijora kakopesha au? kama kafirisika alete namba tumchangie bukubuku apa chaap arudi mzigoni
 
Mkuu, Timberland (American boots) original. Ndio kiatu navaa nikiwa site au porini. Ni kiatu flani najisikia comfortable sana nikiwa nacho hasa maeneo korofi. Ni unyama sana hiyo boot. 😊
 
Attachments

  • 20260426_174103~2.mp4
    12.5 MB
bora wew umwambie pengine atakusikiliza 😁

Vijora kakopesha au? kama kafirisika alete namba tumchangie bukubuku apa chaap arudi mzigoni
Mwamba sana huyu Bi Dada πŸ˜„
Ana kitu na atafika mbali , kama qkiikubali trip compensate angalau na 2000 usd akirudi awe na akili mpya maana kelele za Carrier Koo sio mchezo
 
mimi huyu akikubali hii road trip nampa 2000$ kwenda kurudi nampa tena 2000$ ya usumbufu sa sijui anakwama wapi huyu tajiri yangu, mwambie alegeze kidogo wengine vipato vyetu vidogo ndo mwisho apo πŸ˜„
 
😹😹😹 Una offer nzuri, sasa wewe tuma hizo dollar 4000 zote kwanza tujazie mzigo wa vijora. Halafu tutapanga hiyo road trip na Uzuri dereva nipo, ukichoka nakusaidia kulipush hilo discovery..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…