πwe hutaki huyo tajiriSpider ni tajiri yangu bana, nasubiri anitumie migebuka nitembeze mtaa kwa mtaa na beseni langu kwa kichwa!
Huyo nimekuachia wewe! Mimi aina zangu hata simu janja hawana! π«’πwe hutaki huyo tajiri
πΉkwanini sasa humtakiHuyo nimekuachia wewe! Mimi aina zangu hata simu janja hawana! π«’
We unamtaka?πΉkwanini sasa humtaki
Tajiri wa mahaba auπwe hutaki huyo tajiri
Kwahiyo ulitaka nije kukupokea πΉumechelewa sasa tajiri, nilkua narudi Bongo
ulivouliza sina budi kujibu hapana πKwahiyo ulitaka nije kukupokea πΉ
Kwahiyo ulikua unanirusha roho? πΉulivouliza sina budi kujibu hapana π
dah naanzia wap mimi kukurusha roho tajiri japo kweli ungekuja kunipokea Airport ingekua unyama sana ππ₯Kwahiyo ulikua unanirusha roho? πΉ
πΉπΉπΉ Ukiwa unarudi tena nishtue nije kukupokea..!!dah naanzia wap mimi kukurusha roho tajiri japo kweli ungekuja kunipokea Airport ingekua unyama sana ππ₯
πΉπΉπΉ Ukiwa unarudi tena nishtue nije kukupokea..!!
Em tupia pic yako basi King
Yani kachalii fulani hivi siunaelewa tena..View attachment 3707206
Discovery sport la 2023 kwenu mkweche kumbe tajiriiii πΉπΉachana na picha kwanza twenzetu Lusaka Ijumaa na huu mkweche wangu wa kukodi π
View attachment 3707354
Fubu, Phat Farm, Dada , Sean John πSeran, unenikumbusha enzi za Fubu, Phatfarm, Dada, Sean John. Nilikuwa napiga sana jeans pana hizi. Raba kubwa, Lugs na natupia madini shingoni. π
We ulikuwa chekechea miaka ya 2001/2002.
kweli wanawake hamjui magari π December stokua Bongo wew Ijumaa twenzetu Lusaka hamna hata haja ya passport tajiriπ₯Discovery sport la 2023 kwenu mkweche kumbe tajiriiii πΉπΉ
Nipe mimi huo mkweche π
Twende December Victoria falls π₯π₯
Fubu, Phat Farm, Dada , Sean John π
Nakumbuka nilikuwa na tshirt ya fubu05 nyeusi , sweta la phat farm , pensi la jeans pana kama mfuko wa mashine ya kusaga lina ribbon ya dada na jeans ya zizzle mpauko π€£ Lugz nilikuwa namuona Inspector Haroun kwenye magazeti tu amevaa
Way back 2002 mpaka 2003
Vijana hawawezi kuyajua haya
Timberland nilikuwaga nayo ya kaki nikaipiga rangi nyeusi iwe ya shule na suruali enzi zile tulikuwa tunavaa mabwangaGone are the days!
Zeezle walikuwa na jeans smart sana, nyeusi au blue na kadeti yake.
Baada ya kuja jeans mpauko, na Nelly kuleta staili ya kuweka kiplasta, basi ilikuwa hatari.
Lugz au American boots/Timberland, kilikuwa kiatu changu pendwa. Mpaka leo sikosi pair mbili za Timberland.
Niwe site, lazima nipige 6 inches original Timbeeland boots.