Hilo rika nishavukaYani kachalii fulani hivi siunaelewa tena..View attachment 3707206
Nitafutie kamoja mwanang!Hilo rika nishavuka
Gen zee huyo anakunyima tu utam uyoKwahiyo sio gen zee😨
Kuna vijana ni wachoyo jamani!Gen zee huyo anakunyima tu utam uyo
Ni gen z aliyezaliwa kitambo😹Kwahiyo sio gen zee😨
Kaa Hapo uishiKuna vijana ni wachoyo jamani!
Hapa atajifanya baba yangu ili kunikosesha madini tu!😒
Mahabaa
Goja aje!😬Kaa Hapo uishi
Sijapenda!Mahabaa
Acha wangaSeran huyu anaweza ata kukuzaaa🤣🤣🤣🤣
Typing error, marahaba bintiSijapenda!
Wachawe
Nimeumia sana! Nikajua nmeopoa kadogodogo namimi nikaringishie wenzangu🥲Typing error, marahaba binti
Kama gen z bebana na spider😹😹Sijapenda!
Nibless nilale kipenzi🤩🔥🔥🔥🔥🔥Acha wanga
Spider ni tajiri yangu bana, nasubiri anitumie migebuka nitembeze mtaa kwa mtaa na beseni langu kwa kichwa!Kama gen z bebana na spider😹😹