Mi sijaona rudiaNilipita mbona🤩
Subiri video sio picha tu 😅😅Wewe sio kukusifia tu, una kitu mahi 😹
Kile Kichuguu sio mchezo 😍
😅😅 wanapendana kwenye umati hovyo kabisa 💔😹😹😹 Basi tu waache mazoea ya kijinga.
Yani wanaona kabisa niko single nna stress afu wao wanakisiana..!!
Weka na mi niweke moja hivi nilikua somewhere 🔥🔥Subiri video sio picha tu 😅😅
Eti jamani? 🥹😅😅 wanapendana kwenye umati hovyo kabisa 💔
tajiri shida yako maneno mingi, weka offer watu tubinjuke 😁🔥😹😹😹 Ngoja niweke offer yangu tuone kama unaweza kufika bei..!!
Yaani ni Waseee kinoma, halafu unajua sisi binadamu tunakinai na hawa Wangeseee tumewakinai kabisa yaani 😔Acha tu, nchi hii ina viongozi wa kisee sana!
Haya pita sasa mrembo
Una vigezo dogo?Weee
😹😹😹 Nipeleke Spain December halafu huko tutaweka offer..!!tajiri shida yako maneno mingi, weka offer watu tubinjuke 😁🔥
Ipo siku yao inakuja, watatamani mambo yarudi nyuma waeke sawa lakini watakuwa wamechelewa..!!Yaani ni Waseee kinoma, halafu unajua sisi binadamu tunakinai na hawa Wangeseee tumewakinai kabisa yaani 😔
Tajiri wapi hiyo?
ungekua serious ningefikiria 😁😹😹😹 Nipeleke Spain December halafu huko tutaweka offer..!!
AzerbaijanTajiri wapi hiyo?
Sauwaaaaa🤭Weka na mi niweke moja hivi nilikua somewhere 🔥🔥
Niko serious bhana! 😹ungekua serious ningefikiria 😁
Labda nikupe mwashambwa 💔Eti jamani? 🥹
Hauna jirani yako uko unipe? 😹
Na mimi nipeleke 😹Azerbaijan
Weka sasaSauwaaaaa🤭
Machawa hapana, sitaki hata kuwasikia bora nibaki single 😹😹😹Labda nikupe mwashambwa 💔