Mapema tena jamani!!
Au sababu uko Dar
No we sema tu nilivaa nguo gani na ulijuaje kama ni mimi?? Au ukishindwa kusema hapa tuende kule mtaa wa saba kaka!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna haja ya kwenda huko wala taja nguo Karma
Kwani kuna ubaya mimi ona wewe, nimejua ni wewe based on picha umekuwa ukiweka
HahahaahAsante nimeshapoa,, yaani hili joto hadi natamani kulia..
Nahisi kama nimeshapamiss Mbeya mimi jamani daah
Sent using Jamii Forums mobile app
Niko ushagoo mimi jamani!
Karibu sana jamani
Mlale salama wandugu, View attachment 1293586
Hahahaah
Poleee sana jamani, mji wa wenyewe
Karibu sana jamani
Na midoli kaka!Umeibariki usiku yangu
Jr[emoji769]
Vumilia dada
Yaaaniii, daaaah!! Meona cheni tuu jamaniHensamu boi
Jr[emoji769]
Machakos
Vumilia dada