Selfika na JF: Snap it. Show it

😂 😂 😂 hauna shida mkuu kwenye supu unanoga vizuri tu kwa mjini Daslamu kwetu vitu vya kawaida sana

Watu mpaka utumbo wa Ng'ombe wanafanya mboga kabisa
utumbo wa Ng'ombe safi kabisa ila wa kuku hapana.

kuna demu nilipataga anaishi Tabata kama miaka minne nyuma nikaenda piga kambi kwake kama siku 3 ivi siku moja jioni kwenye kutembea tembea tukajikuta kwenye iko kimeza wanauza bidhaa za kuku mimi nikachukua vipaja kadhaa nikaanza kujisevia kidogo nayeye akaanza kunilisha mimi naachama tu mdomo kuja kushtuka kumbe ananilisha vifiligisi vimefungwa fungwa na utumbo wa kuku aisee nilihisi kutapika 🤮🤮

mimi nmekulia kanda ya ziwa aisee misosi kibao kumkuta mtu anakula utumbo wa kuku ni kitu hakiwezekani, wengine mpaka vichwa wanatupa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…