Hamna na hayupo niamini mimi, cha kufanya wewe tupia saidia fundi wajinyonge..!! πΉπΉAcha basi dada unataka watu wasevu kwenye simu zao ππ badae wanitangaze vibaya
Nimekoma mieπ na kesho kuna mwaliko mahali sijui niende,ila watakuja kuniteka maana nikikutana na maajabu naanzisha Uzi tu ππππHamna na hayupo niamini mimi, cha kufanya wewe tupia saidia fundi wajinyonge..!! πΉπΉ
Babu unakula mafao πΉπΉ
Weee uko mamtoniiiii! Namie naonaga mazingira yaforo zako sio bongobahati mbaya hiooo!
Nitaftie uhpisegirl mamtoni akii
πΉπΉπΉ Wewe tu na uoga wako hakuna wa kukuteka ila usiamini mtu humu..!!Nimekoma mieπ na kesho kuna mwaliko mahali sijui niende,ila watakuja kuniteka maana nikikutana na maajabu naanzisha Uzi tu ππππ
Awwwwwwwwwwwww! Watu na vifua vyenyuuuuuπ€©π€©π€©π€©π€©!View attachment 3410141
Wallah wananisingizia.. hapa bongo bahati mbaya kabisa...
Rudia sijaona πΉWallah wananisingizia.. hapa bongo bahati mbaya kabisa...
Usijali dada mm mwenye mtoto wa mjini,sijaona wa kunisumbua,mim mswahili hasa ππΉπΉπΉ Wewe tu na uoga wako hakuna wa kukuteka ila usiamini mtu humu..!!
Km una tabia za kukubali outings zao iwe mwanzo na mwisho watakuja kukudhalisha au kukufanya kitu kibaya..!!
Kuna watu waliletwa na tupu zao..!! ACHA MAZOEA kipenzi
Bibi yenu amenitoa out leo πBabu unakula mafao πΉπΉ
Pamoja sana... leo sijaona kama ume tu bless..Awwwwwwwwwwwww! Watu na vifua vyenyuuuuuπ€©π€©π€©π€©π€©!
Mandhari safi tulivu kabisa
Sante sana kuubles Usiku wangu hakika leo ntalala vizureeeeeeeee kabisa
Hahaha..........andaa Bajeti ya 20k tu inatosha kula beer hata mbili MkuuChimbo kali sana, wapi mkuu ! Siku nikitusua nije hapo nikae meza ndefu niagize JDaniels
Ewaaah!! πΉUsijali dada mm mwenye mtoto wa mjini,sijaona wa kunisumbua,mim mswahili hasa π
Pamoja sana kiongozi!. Hata pozi la kujifotoa saivi lipo Sasa haha!!Pamoja sana... leo sijaona kama ume tu bless..
Babu nakataa wakati naona kabisa upo na bibi wa kambo hapo..!! πΉBibi yenu amenitoa out leo π
Sijawahi kupiga pic toka nizaliwe hata sijui nafananaje..!! Em weka hiyo forooo anayoisema udugu wangu nikuone..!! πΉπΉTupia uni bless babe..
Hebu weka nikuone...
Weka ya kutetemesha mji uduguu πΉPamoja sana kiongozi!. Hata pozi la kujifotoa saivi lipo Sasa haha!!
Wacha nikague kwa gallery ivooivooo usitoke hapoo