๐๐ Kusanya yote uyaulize yote. Sijachoma tetanus Vaccine hii mitaaUnalima nini shambani๐
Pole my kuwa makini miba isikuchome๐๐ Kusanya yote uyaulize yote. Sijachoma tetanus Vaccine hii mitaa
Nitajitahidi Kwa kweli, maana bado sijaandika hata urithi ๐Babu punguza wanga bado tunahitaji uwepo wako.
Hili eneo Kuna baridi sana
Vijana wa hovyo nyinyi hata ugali wa usiku bado tayari mpo site
Nataka nije nikusaidie kuvuna mazao shambani๐๐๐ Kusanya yote uyaulize yote. Sijachoma tetanus Vaccine hii mitaa
Nilimaanisha ili niingie huu Uzi lazma niwe na ganzi๐๐๐Pole my kuwa makini miba isikuchome
Usimuogope ntu humu bana wewe Mimi nitakutetea mmaaaa ๐๐๐Nilimaanisha ili niingie huu Uzi lazma niwe na ganzi๐๐๐
Nitag nione hiyo pic yako au ulifuta? ๐Pages za mwanzo tumezijaza sisi.
Zenyewe au ushaingiza ndio unatuletea ๐น๐นView attachment 3123287
Naomba matajiri mselfike namna hii, haya tuendelezw hili dubwana huku
Kapachino
Madame B
Bantu Lady
Lamomy
Poor Brain
Mad Max
Fake P
Vincenzo Jr
Mbaga Jr
๐น๐น๐น mi staki kabeesaa babu yangu ufe na baridi, lazima nikusaidie kukuitia kina bibiBora unisaidie kuniitia
๐น๐น๐น Ehhh ushaanza kunipachika kwa viumbe wazito!!
๐น๐น๐นHivi siku hizi baunsa wako wa kukuamulia ugomvi Lamomy anapotea potea.
Kuna Siku atakukuta umeshachezea ndoige za kutosha.
Haha sijui itakuaje
๐คฃ๐คฃ๐คฃ basi ntakutafutia miwani uone chinoTatizo umempofua chino mbele haoni zaidi yako
Koh Koh koh ๐น๐นLeo hujaenda?๐
๐น๐น๐นHivi watu waliofurahi
Wanajisikiaje kuona kapo yenu imerudi?
Atulipe kwanza kwa kazi tuliyomfanyia ndo tujue km bossledi au red carpet ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐นKwani siyo Bossledi sasa?๐
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃUmesema wewe Nkamu kuwa tight ya net
Mimi sijui๐