Selfika na JF: Snap it. Show it

🀣🀣🀣 kapeace week ya 6 babu anakusubiri akupe urithi wa mashamba unambwela?
Ngoja wajukuu wengine wawahi shauri yako.!!
Eti anasema anaogopa nitamfia katikati ya safari πŸ˜œπŸ™Œ

Hajui gari bovu huvutwa na zima πŸ€—
 
Kapeace mahi pension tayari kazi kwako 😹

Igweeeeeeeee babu πŸ€Έβ€β™‚οΈ
Uzuri babu hana kona kona kapeace babu anataka kukupa password ya card yake ya bank 😹
Mjukuu Kwa kazi hii kubwa unayonifanyia, kweli nimeamini hupendi nikufe Kwa baridi Babu yako 🀸🀸🀸
 
Mpige game moja mi refa, dawa za presha si unazo babu tatizo liko wapi? 🀣🀣🀣
Kama unakunywa 🍷, mwambie muhudumu akuongeze chupa nyingine bill juu yangu πŸ€—
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…