Nakazia mimiMkuu usiweke hadi naye aweke yake kwanza [emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
Angalia usijikwae kaka angu ππ picha Mods wanafutaNimekuja mbio mbio kuona picha inayosifiwa kumbe umefuta. Why? [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Sawa mpendwa... Nitaweka kwaajili yako, naweka natoa hapo hapoAisee ungeweka ya ukweli mpendwa
How do you love them?? Like trash or like the most important creatures in the universe?? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Hebu itume kule niendelea kujifariji na macho yanguAngalia usijikwae kaka angu [emoji3][emoji3] picha Mods wanafuta
UnitagSawa mpendwa... Nitaweka kwaajili yako, naweka natoa hapo hapo
Ubarikiwe nasubiriSawa mpendwa... Nitaweka kwaajili yako, naweka natoa hapo hapo
βΊβΊHebu itume kule niendelea kujifariji na macho yangu
Utoto umefanyaje, nilishakua mtoto so kujikumbushia sio mbaya.... Tho sitaki nizeeke ili nile chumvi nyingi sana nione mengi
Wewe ndiyo unakataza watu wasiweke picha humu
Usikae mbali muda sio mrefu ni bandika banduaUnitag
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji5][emoji5]
Sawa subiri usiwe na harakaUbarikiwe nasubiri
Sawa baba J..
Na ujiandae na shopping ya mtoto J [emoji4]
πππππππππππππ
Sawa baba JJmosi...
Lazima akafanyiwe shopping..!
Wapi?Nshaweka Atoto.