dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,831
- 20,344
Asalaleh!!!
Usiku mwema wapendwa.
Uko kwa wapi eti jamani, nacheza kwaito huku!! Hebu punga mkono nitakuona jamani
Ona ulivyokuja na fujo? We dogo vepee [emoji3][emoji3][emoji3]
Mwenzio kashalala
Hahahaaha! Ila Inapendezesha uziUsinambie Mods wameshaniweka wallpaper [emoji134] Sakayo emu tumeni picha za shambani zile
[emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296]
Wapi hapo...Niko pande za dj huku
Usinambie Mods wameshaniweka wallpaper 🙆 Sakayo emu tumeni picha za shambani zile
Umenikimbia kule...muone
Vipi mkuu!!Duh!
Nisaidie nimuwajibisheYes mimi unga mkono wewe kabisa