Shikamooo
Habari yako ??
Nina umadamu gani ?
Ileje MkuuSafi.
Ileje au Dom
Ah wapi , sina kabisa hiko cheoMarahaba madam
Wewe ni madam
Anayebisha nitamshitaki😁
Hope uko poa
Umemisika sana hapa
Kumbe wewe ndo unabisha?Ah wapi , sina kabisa hiko cheo
Hata ofisi sina 😀😀😀
Nipo poa vipi wewe ?
Nimekumiss mr .vocha pia .
Sijawahi onanaa na madam wa aina hii tena na ni joblesss 😀😀😀Kumbe wewe ndo unabisha?
Nitakushitaki😁😁😁
Narudia tena wewe ni madam naomba iringe tu mdogo wangu
Asante, nimekumiss pia
Twende siku for a walkLodge hapa
hivi kwanini wadada mnapenda compliments ila hamtaki kuzipokea😂Ah camera tu hizi
😀
Ukipokea unaonekana fulani hivi kwa hiyo unazuga , ila unapokea kimoyo moyo since ni public .hivi kwanini wadada mnapenda compliments ila hamtaki kuzipokea😂
ikiwa nzuri mnapokea kimoyo moyo ikiwa mbaya aliyeitoa atakoma😂Ukipokea unaonekana fulani hivi kwa hiyo unazuga , ila unapokea kimoyo moyo since ni public .
Tunapenda kupokea feedback nzuri hizo mbaya lazima utajutaikiwa nzuri mnapokea kimoyo moyo ikiwa mbaya aliyeitoa atakoma😂
Muache asome😁Tinsley lips kama kawa ziko on point👌🏾
Amen kapokeaMshike jirani yako mkono mwambie UMEBARIKIWA🤝😍
ameshamaliza chief, nashughulikia mahari😁Muache asome😁
tatizo ni toxic beauty standards...Tunapenda kupokea feedback nzuri hizo mbaya lazima utajuta
Kama picha ikiwa na filter halafu aseme oooh sijui nn inauma .
Naonaga wengine wanasema mnasema kisa filter na nyie pigeni tuone kama mtakuwa hivyo .
Hatari sana yaanitatizo ni toxic beauty standards...
Dbsbwh gegr