Selfika na JF: Snap it. Show it

sura ya ng'ombe tena.. binadamu mna kufuru sana uumbaji wa mnyaazi mungu 🫣🫣🫣
BLACK IS BLACK
WHITE IS WHITE 😎😎😎😎 Kwani hamna wanawake wenye sura mbaya 😏

Mbona bible inam address ESTA kama mzuri wa sura kwaivyo even the opposite is true.

Kuna madem hawavutii kwani uongo??

Anyway macho yetu yanatofautiana
 
mambo yenu mazito.banaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…