Siri ya kitambi Changu ni kufukia ugali wa kutosha,,asubuhi unamalizia kiporo na maharage.
Huwezi amini nakula kila kitu..ila skert huwa sipati size ya kiuno maana Ni bonge la kitambi
Yeah mimi mwenyewe sababu ya kutotumia browser ni vile naona inanichosha tu hakuna sababu nyingine ila huwa najiuliza kwanini yale yote yaliyoko kwenye browser wasiyaweke na kwenye app tu
Kweli kabisa mimi sijui ni abiria wa aina gani yaani kweli bus inanipita huku nimesimama hapo hapo stand kweli bora hata ningekuwa home ningesema nilichelewa