mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 23,390
- 75,807
kwa nnavokula mihogo tumbo limekata lenyeweNjoo gym nakulipia
Unahamia fb au sio ππAkisfika hapa nasepa jf
Mihogo ni mitamu hujui tukwa nnavokula mihogo tumbo limekata lenyewe
nakupenda jamani acha wivuπWallah, sikutakiπ
Natumia tekno 714, naingia jf kwa kutumia Google ya opera mini.Selfika bro π€
Jamani[emoji16]mawardat we mzuri jamani, tufanyeje sasa[emoji23]
Uongo
Hivyo hivyo we tuoneshe chochoteNatumia tekno 714, naingia jf kwa kutumia Google ya opera mini.
Utakufa kijana achana na hayo machumaView attachment 2702357Gym tumemaliza fanyeni mazoezi ukijiona unanenepa tu kimbia gym unene ugonjwa
Ila ni zanguπππ, simpi mtuπ€Nakazia
Hizo dimpoz zimenichanganya kabisa mlongo
goja ukataliwe na leniekwa nnavokula mihogo tumbo limekata lenyewe
View attachment 2702357Gym tumemaliza fanyeni mazoezi ukijiona unanenepa tu kimbia gym unene ugonjwa
Dampo kule hapanaUnahamia fb au sio ππ
Ahahaha hapana ngoja nipambane kwazaUtakufa kijana achana na hayo machuma
"Eat life"
πββοΈπββοΈπββοΈnakupenda jamani acha wivuπ
Si uliniambia nifanye mazoez mwili umekaa vibaya[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ngoja ninyamaze
Piga picha hata kidole Kuna kitu nataka kuonaπ€Nilimpiga Pichaπππ
View attachment 2702368
Do as you prefer, why umu involve malaika Aaliyyah π€Wewe na Aaliyah mmefikia wapi?