Atachelewa sana kufanikiwa huyona kakimbia mazima
Mh bhna now sitak stressJifunze, Mimi natumia chat gpt kuandika hapa๐ค
dronedrake hebu thibitisha, Kuna ya nzi Tena๐ค๐ค๐ค๐๐๐๐huyo ni g.o.a.t kwenye hilo eneo, anajua hadi ile ya kutumia nzi๐
mshamba_hachekwi punguza udomo gundi sheikhAtachelewa sana kufanikiwa huyo
sawa auntie ngoja niskilizie๐ nimekabidhiwa kwa mjomba ananifatiliaNaelekea Isese now
Dogo nilipo sema I will make it, namaanisha.Mh bhna now sitak stress
ukiwa njiani, natoa white block mazima, ila pic inayofuata napanda panda mpaka chini ya machoWe kuja na deni langu hayo mengine yataji sort, ole wako ueke white block๐
Pm yangu haifanyi kazi๐haya basi binti macho naomba uniletee picha yako pm tafadhali๐
Mchumbaa๐คPm yangu haifanyi kazi๐
kumdaka huyo mdudu ndiyo mtiti, na ya mende (hapa utahitaji beseni) piadronedrake hebu thibitisha, Kuna ya nzi Tena๐ค๐ค๐ค
Yaani mimi mwenyewe naumia unavyompeti AaliyahMchumbaa๐ค
Sasa hueleweki, Mara tuachane au turudiane๐คSitaki
download chrome au nikubless vocha๐Pm yangu haifanyi kazi๐
kuja Mvuti bana, Mbeya aje tena ๐ซฅ๐๐๐๐njian kuja Mbeya?
๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐Nlijua tuu unajua๐๐๐๐๐๐๐๐๐
Wewe si unataka divorce papers๐Sasa hueleweki, Mara tuachane au turudiane๐ค
Aha ngoja kwaza niende shule mwaka uhuDogo nilipo sema I will make it, namaanisha.
Nimekosa stika ya kuweka hapa๐๐๐
Ugomvi wa watu usitugombanishe my wangu
Yaani natakiwa ni update simu yote๐ฎdownload chrome au nikubless vocha๐