Wewe treinnaaa nataka umuone bila chengaaaaa udugu akee!!!Mpost nimuoneee tafadhariiiii. Plz do the needful
Adoado tunajikongoja π!Wazee kwa wazee
Sawa SawaAdoado tunajikongoja π€£π€£π€£!!
Dogo au umeuza soseji ehhπ€£πAchana na mimi π€£π€£, ππ
As usual, kheri ikawe kwetu soteeVyema sana
Utafikia nalengo tu .
Tukuone wewe shem kwanza .Vp mbona hata sf sion, fanya mpango basi nikalale
Ni bukheri wa afyaa kichaa akee! Samalekoooo!!Madam Santo mzima weyeπ
Nipo na lvππ€£, usiharibu codeeπNi bukheri wa afyaa kichaa akee! Samalekoooo!!
Usijali, baby Yoda ameshanitumia picha zenuπ₯π₯π₯π₯ huyu mwenye green kama nimemuelewa hiviππTukuone wewe shem kwanza .
Umemuelewa angle ipi kwanzaUsijali, baby Yoda ameshanitumia picha zenuπ₯π₯π₯π₯ huyu mwenye green kama nimemuelewa hiviππ
Siri yangu, mwambie namsalimia sana.Umemuelewa angle ipi kwanza
Siku niwapangie date
Hehe tushapta host wako ukijaSiri yangu, mwambie namsalimia sana.
Naona group leader kama kawa na vijeans vyake hapo. π
Daaaah kwa hiyo sina option ya kukataa.Hehe tushapta host wako ukija
Deal done
Ewaaaah jeans for life π
Ah consider it done shemDaaaah kwa hiyo sina option ya kukataa.
Ila ni mrembo sana, nimependa dress code yake.
Poa acha nilale shem, huku ni midnight.
Stay safe out there. Be nice to Yoda. ππ
Umevunja bei asee, nzuri dgπVunjaBei ππππView attachment 2674594
Huyu sio wewe
Yeah.. Sio mieπππHuyu sio wewe
Kama kweli wewe weka nyingineπYeah.. Sio mieπππ