nawekaga orderπ
mama wa mihogo ni jirani yangu
shingapi hapo bossView attachment 2671723
Karibu lunch
Buku beeshingapi hapo boss
ah wapiπBuku bee
Chimbo, kwani unataka? πah wapiπ
hio sio 2000 mzee.... acha kambaπChimbo, kwani unataka? π
Ukute una ubao hatariπNasinzia
Shibe mwana malevya
Sh ngapi sasahio sio 2000 mzee.... acha kambaπ
Leo mama Asha kaniwekea chips nyingiUkute una ubao hatariπ
Hongera sana.Leo mama Asha kaniwekea chips nyingi
Mpk zilibaki
Nimeshiba mpk nimelegeza belt, so mchezo
mwenzako mpwayungu anagongea mahindi saivi we umeshibaπNasinzia
Shibe mwana malevya
itakua ghali tu.... sema nini, wacha tuzisakeπSh ngapi sasa
Bora Depal hajaona maana angenisagia kunguni kwa hiyo menu πitakua ghali tu.... sema nini, wacha tuzisakeπ
πππ aje nimpe kazi anisaidiemwenzako mpwayungu anagongea mahindi saivi we umeshibaπ
Acha umbea, sijapost pweza mimi. πππUnadhani sikuona ma pweza na nazi ulizopost?
Sawa kama haukuwa wwAcha umbea, sijapost pweza mimi. πππ
Uko poa?Sawa kama haukuwa ww