Selfika na JF: Snap it. Show it

Asante kwa mwongozo
Namba 3 why😂
Sipati take away huko

Kwa experience yako unaona siku 14 zitafika? Maana hapo naona kama wiki hivi.
 
Watu wa kwenye bible hawana kona kona
Ruth ni mfano wa kuigwa
Alikuwa humble na mwenye maadili .

Anamwambia mama mkwe hapana nitaenda nawe , your people will be my people and your God will be my God .


Na mimi ni modern day ruth hapaa hadi shem rabbitus aelewe somo 😂😂😂😂
 
Reactions: 511
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…