Huwa haimaanishi, Wanawake wote ni wabaya. Hapana.
👉Ila those girls of 80 and 70 are no more😐😑.
👉Kipindi nasoma business, Kuna vipengele fulani hivi. Kuhusu risk- wanasema ukiwa alone with no majukumu or wajibu wa watu wanao kutegemea. Unaeza jaribu Mambo mengi. Kuliko ukiwa navyo. Tinsley