mshamba_hachekwi JF-Expert Member Joined Mar 3, 2023 Posts 22,318 Reaction score 72,091 Jun 8, 2023 #339,721 Depal said: Naomba ushahidii wa sauti kuhusu hizo tuhuma Click to expand... nendeni kwenye hela hivi vi rotimi-type ni vi playboy vitawaumiza😂
Depal said: Naomba ushahidii wa sauti kuhusu hizo tuhuma Click to expand... nendeni kwenye hela hivi vi rotimi-type ni vi playboy vitawaumiza😂
Post M-alone JF-Expert Member Joined Aug 18, 2021 Posts 2,962 Reaction score 9,557 Jun 8, 2023 #339,722 Saint Anne where are you?
Post M-alone JF-Expert Member Joined Aug 18, 2021 Posts 2,962 Reaction score 9,557 Jun 8, 2023 #339,723 Mchana Mwema
Mwachiluwi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2022 Posts 33,586 Reaction score 66,282 Jun 8, 2023 #339,724 Siri ya kutokuwa na kitambia sili chakula sana Attachments D7D7C974-C60E-48F0-899F-4A097A5D40A7.jpeg 1.4 MB · Views: 5
mshamba_hachekwi JF-Expert Member Joined Mar 3, 2023 Posts 22,318 Reaction score 72,091 Jun 8, 2023 #339,725 Mwachiluwi said: Siri ya kutokuwa na kitambia sili chakula sana Click to expand... muhogo wa wapi huo mbona una sura mbaya
Mwachiluwi said: Siri ya kutokuwa na kitambia sili chakula sana Click to expand... muhogo wa wapi huo mbona una sura mbaya
Depal JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 50,524 Reaction score 203,276 Jun 8, 2023 #339,726 mshamba_hachekwi said: muhogo wa wapi huo mbona una sura mbaya Click to expand... Muhogo wa jang'ombe
mshamba_hachekwi said: muhogo wa wapi huo mbona una sura mbaya Click to expand... Muhogo wa jang'ombe
Depal JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 50,524 Reaction score 203,276 Jun 8, 2023 #339,727 mshamba_hachekwi said: nendeni kwenye hela hivi vi rotimi-type ni vi playboy vitawaumiza😂 Click to expand... Tutavikomesha na sie... full kuvivunjia simu
mshamba_hachekwi said: nendeni kwenye hela hivi vi rotimi-type ni vi playboy vitawaumiza😂 Click to expand... Tutavikomesha na sie... full kuvivunjia simu
Intelligent businessman JF-Expert Member Joined Sep 6, 2022 Posts 44,474 Reaction score 96,930 Jun 8, 2023 #339,728 Mwachiluwi said: Nimetoa emoj Click to expand... Kidevu Kama embe😂🤣🤣😂
mshamba_hachekwi JF-Expert Member Joined Mar 3, 2023 Posts 22,318 Reaction score 72,091 Jun 8, 2023 #339,729 Depal said: Tutavikomesha na sie... full kuvivunjia simu Click to expand... 🙏🙏umeshinda mama..... utengwe😂
Depal said: Tutavikomesha na sie... full kuvivunjia simu Click to expand... 🙏🙏umeshinda mama..... utengwe😂
Intelligent businessman JF-Expert Member Joined Sep 6, 2022 Posts 44,474 Reaction score 96,930 Jun 8, 2023 #339,730 mshamba_hachekwi said: muhogo wa wapi huo mbona una sura mbaya Click to expand... Hayo ni mavuno ya wazaramo🤣😂😂
mshamba_hachekwi said: muhogo wa wapi huo mbona una sura mbaya Click to expand... Hayo ni mavuno ya wazaramo🤣😂😂
Depal JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 50,524 Reaction score 203,276 Jun 8, 2023 #339,731 mshamba_hachekwi said: 🙏🙏umeshinda mama..... utengwe😂 Click to expand... Karibu parachichi la Moshi Tamu balaa
mshamba_hachekwi said: 🙏🙏umeshinda mama..... utengwe😂 Click to expand... Karibu parachichi la Moshi Tamu balaa
Intelligent businessman JF-Expert Member Joined Sep 6, 2022 Posts 44,474 Reaction score 96,930 Jun 8, 2023 #339,732 Mwachiluwi said: Siri ya kutokuwa na kitambia sili chakula sana Click to expand... Dah umenisikitisha Sana🤔, yaani kidume una jisifia huli😂🤣🤣
Mwachiluwi said: Siri ya kutokuwa na kitambia sili chakula sana Click to expand... Dah umenisikitisha Sana🤔, yaani kidume una jisifia huli😂🤣🤣
mshamba_hachekwi JF-Expert Member Joined Mar 3, 2023 Posts 22,318 Reaction score 72,091 Jun 8, 2023 #339,733 Intelligent businessman said: Hayo ni mavuno ya wazaramo🤣😂😂 Click to expand... hela nje nje😂
Intelligent businessman JF-Expert Member Joined Sep 6, 2022 Posts 44,474 Reaction score 96,930 Jun 8, 2023 #339,734 mshamba_hachekwi said: hela nje nje😂 Click to expand... Waacheni waisome namba🤣🤣😂
mshamba_hachekwi JF-Expert Member Joined Mar 3, 2023 Posts 22,318 Reaction score 72,091 Jun 8, 2023 #339,735 Depal said: parachichi la Moshi Click to expand... 😂😂
Intelligent businessman JF-Expert Member Joined Sep 6, 2022 Posts 44,474 Reaction score 96,930 Jun 8, 2023 #339,736 Intelligent businessman said: Waacheni waisome namba🤣🤣😂 Click to expand... Oy mshamba_hachekwi kunaadogo wamekuja home kututembelea, Sasa wanataka niwa washie tv wakati Nina stress🙄. Kmmk siwashiii 😂🤣🤣
Intelligent businessman said: Waacheni waisome namba🤣🤣😂 Click to expand... Oy mshamba_hachekwi kunaadogo wamekuja home kututembelea, Sasa wanataka niwa washie tv wakati Nina stress🙄. Kmmk siwashiii 😂🤣🤣
mshamba_hachekwi JF-Expert Member Joined Mar 3, 2023 Posts 22,318 Reaction score 72,091 Jun 8, 2023 #339,737 Intelligent businessman said: Oy mshamba_hachekwi kunaadogo wamekuja home kututembelea, Sasa wanataka niwa washie tv wakati Nina stress🙄. Kmmk siwashiii 😂🤣🤣 Click to expand... stress za nini sasa😂
Intelligent businessman said: Oy mshamba_hachekwi kunaadogo wamekuja home kututembelea, Sasa wanataka niwa washie tv wakati Nina stress🙄. Kmmk siwashiii 😂🤣🤣 Click to expand... stress za nini sasa😂
Dr Lizzy Platinum Member Joined May 25, 2009 Posts 31,010 Reaction score 60,472 Jun 8, 2023 #339,738 Depal karibu lunch!😅
Intelligent businessman JF-Expert Member Joined Sep 6, 2022 Posts 44,474 Reaction score 96,930 Jun 8, 2023 #339,739 Dr Lizzy said: Depal karibu lunch!😅View attachment 2650084 Click to expand... Leo ndo nakufa kabisa😂🤣🤣, hio SI pipi au😂🤣🙄
Dr Lizzy said: Depal karibu lunch!😅View attachment 2650084 Click to expand... Leo ndo nakufa kabisa😂🤣🤣, hio SI pipi au😂🤣🙄
Intelligent businessman JF-Expert Member Joined Sep 6, 2022 Posts 44,474 Reaction score 96,930 Jun 8, 2023 #339,740 mshamba_hachekwi said: stress za nini sasa😂 Click to expand... Harakati Kaka, SI unajua tunataka tuwe na 5 figures 😂🤣
mshamba_hachekwi said: stress za nini sasa😂 Click to expand... Harakati Kaka, SI unajua tunataka tuwe na 5 figures 😂🤣