Vocha zinakuja za kutosha leo nimechafukwaaaTuachaneeeee, wee si hautaki kutuwekea vocha hapa.
Donβt look at me in that tone of voice bro.well played π
Mambo vipi Engineer πTuachaneeeee, wee si hautaki kutuwekea vocha hapa.
Ndo mambo yenu watu was mjini, Bora nibaki nanjilinjii ππππππππ
Mbona ni hatari!!!!!!πππ
Miss you mdada, uko poaUfungie na majani ya kunde na Mchicha sio nyama tuππ
Nikopoa vipi weweMiss you mdada, uko poa
ππ.Mimi Yangaπππ
[emoji23][emoji23].Mimi Yanga[emoji23][emoji23][emoji23]
Nawasaidia kusikitika Yanga na andazi Bora andazi ππAunt tangu lini upo YANGA embi toka huko
Nawasaidia kusikitika Yanga na andazi Bora andazi [emoji23][emoji23]
Angalau hapa, ukiniachia mwenyewe ntafurahiπππ Dr Lizzy