5 511 JF-Expert Member Joined May 8, 2023 Posts 4,232 Reaction score 7,848 May 27, 2023 #335,161 Ms eyes said: Waniache mtoto jamani😂 Click to expand... Mwambie huyu kizuri ale na wenzake
mshamba_hachekwi JF-Expert Member Joined Mar 3, 2023 Posts 22,315 Reaction score 72,082 May 27, 2023 #335,162 Gily said: nyeto zitakuua mzee😀 Click to expand... Ipo humu mzee sio kwamba nimeisave
Ms eyes JF-Expert Member Joined Feb 4, 2023 Posts 4,773 Reaction score 11,976 May 27, 2023 #335,163 Depal said: ijia hapa majengo 😁 Click to expand... Nivikute kwenye gift package kabisa😂💕 niringishie watu nimepewa zawadi
Depal said: ijia hapa majengo 😁 Click to expand... Nivikute kwenye gift package kabisa😂💕 niringishie watu nimepewa zawadi
Depal JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 50,524 Reaction score 203,271 May 27, 2023 #335,164 Niko hapa Valentina 😂 namsubiri nanii tuje
Ms eyes JF-Expert Member Joined Feb 4, 2023 Posts 4,773 Reaction score 11,976 May 27, 2023 #335,165 mshamba_hachekwi said: Ipo humu mzee sio kwamba nimeisave Click to expand... Niliifuta lakini
Gily Gru JF-Expert Member Joined Jul 4, 2016 Posts 9,078 Reaction score 25,045 May 27, 2023 #335,166 National Anthem said: 😅😅 Mie simo kwanza nimeona bahati mbaya tuu.. sio mambo yangu hayooo Click to expand... huyu National Anthem anajifanya hali chips yai wakati tunajua kabisa akiona chips mayai anatolea macho🤣 pilipili kwa mbali
National Anthem said: 😅😅 Mie simo kwanza nimeona bahati mbaya tuu.. sio mambo yangu hayooo Click to expand... huyu National Anthem anajifanya hali chips yai wakati tunajua kabisa akiona chips mayai anatolea macho🤣 pilipili kwa mbali
National Anthem JF-Expert Member Joined Aug 9, 2022 Posts 19,175 Reaction score 56,203 May 27, 2023 #335,167 Gily said: hapana was busy siku hizi mbili sijatulia. Hapa yenyewe nasubiri kuna wageni wanakuja home Click to expand... Humu single peke yangu tu.. duh 😅😅
Gily said: hapana was busy siku hizi mbili sijatulia. Hapa yenyewe nasubiri kuna wageni wanakuja home Click to expand... Humu single peke yangu tu.. duh 😅😅
Ms eyes JF-Expert Member Joined Feb 4, 2023 Posts 4,773 Reaction score 11,976 May 27, 2023 #335,168 Gily said: hapana was busy siku hizi mbili sijatulia. Hapa yenyewe nasubiri kuna wageni wanakuja home Click to expand... Naelewa, ongeza kg na mimi nakuja😂
Gily said: hapana was busy siku hizi mbili sijatulia. Hapa yenyewe nasubiri kuna wageni wanakuja home Click to expand... Naelewa, ongeza kg na mimi nakuja😂
Depal JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 50,524 Reaction score 203,271 May 27, 2023 #335,169 Peterrabbit said: Mimi nakula kilo2 peke yangu. Ngoja siku nikiwa huko nitakwambia uje tushindane. Click to expand... Utanitoa KO asubuhiii Mimi nyama nyingi nachoka kutafuna
Peterrabbit said: Mimi nakula kilo2 peke yangu. Ngoja siku nikiwa huko nitakwambia uje tushindane. Click to expand... Utanitoa KO asubuhiii Mimi nyama nyingi nachoka kutafuna
Gily Gru JF-Expert Member Joined Jul 4, 2016 Posts 9,078 Reaction score 25,045 May 27, 2023 #335,170 National Anthem said: Humu single peke yangu tu.. duh 😅😅 Click to expand... 🤣🤣🤣 ujue huyu demu hajawahi pigwa jua
National Anthem said: Humu single peke yangu tu.. duh 😅😅 Click to expand... 🤣🤣🤣 ujue huyu demu hajawahi pigwa jua
National Anthem JF-Expert Member Joined Aug 9, 2022 Posts 19,175 Reaction score 56,203 May 27, 2023 #335,171 Gily said: huyu National Anthem anajifanya hali chips yai wakati tunajua kabisa akiona chips mayai anatolea macho🤣 pilipili kwa mbali Click to expand... 😅😅😅 huo ni uchonganishi.. huyu ni mdogo wangu kabisaaa hata akija kuishi home nampokea kwa mikono miwili na kumtunza
Gily said: huyu National Anthem anajifanya hali chips yai wakati tunajua kabisa akiona chips mayai anatolea macho🤣 pilipili kwa mbali Click to expand... 😅😅😅 huo ni uchonganishi.. huyu ni mdogo wangu kabisaaa hata akija kuishi home nampokea kwa mikono miwili na kumtunza
Gily Gru JF-Expert Member Joined Jul 4, 2016 Posts 9,078 Reaction score 25,045 May 27, 2023 #335,172 Ms eyes said: Naelewa, ongeza kg na mimi nakuja😂 Click to expand... njoo tu 😀 upo wa kutosha
National Anthem JF-Expert Member Joined Aug 9, 2022 Posts 19,175 Reaction score 56,203 May 27, 2023 #335,173 Gily said: 🤣🤣🤣 ujue huyu demu hajawahi pigwa jua Click to expand... 😅😅 ndio maana ana color flani hivi amazing sana
Gily said: 🤣🤣🤣 ujue huyu demu hajawahi pigwa jua Click to expand... 😅😅 ndio maana ana color flani hivi amazing sana
Gily Gru JF-Expert Member Joined Jul 4, 2016 Posts 9,078 Reaction score 25,045 May 27, 2023 #335,174 National Anthem said: 😅😅😅 huo ni uchonganishi.. huyu ni mdogo wangu kabisaaa hata akija kuishi home nampokea kwa mikono miwili na kumtunza Click to expand... aaah weee 🤣 na Peterrabbit andai yeye ni mjomba wake
National Anthem said: 😅😅😅 huo ni uchonganishi.. huyu ni mdogo wangu kabisaaa hata akija kuishi home nampokea kwa mikono miwili na kumtunza Click to expand... aaah weee 🤣 na Peterrabbit andai yeye ni mjomba wake
5 511 JF-Expert Member Joined May 8, 2023 Posts 4,232 Reaction score 7,848 May 27, 2023 #335,175 Depal said: Utanitoa KO asubuhiii Mimi nyama nyingi nachoka kutafuna Click to expand... Unapenda nini sasa. Kinywaji gani
Depal said: Utanitoa KO asubuhiii Mimi nyama nyingi nachoka kutafuna Click to expand... Unapenda nini sasa. Kinywaji gani
mshamba_hachekwi JF-Expert Member Joined Mar 3, 2023 Posts 22,315 Reaction score 72,082 May 27, 2023 #335,176 Depal said: Niko hapa Valentina 😂 namsubiri nanii tuje View attachment 2636591 Click to expand... Hii weekend hii😂
Depal said: Niko hapa Valentina 😂 namsubiri nanii tuje View attachment 2636591 Click to expand... Hii weekend hii😂
Ms eyes JF-Expert Member Joined Feb 4, 2023 Posts 4,773 Reaction score 11,976 May 27, 2023 #335,177 Gily said: 🤣🤣🤣 ujue huyu demu hajawahi pigwa jua Click to expand... Gily bwana wewe😂
mshamba_hachekwi JF-Expert Member Joined Mar 3, 2023 Posts 22,315 Reaction score 72,082 May 27, 2023 #335,178 Ms eyes said: Niliifuta lakini Click to expand... Mi mwenyewe sielewi ila watu wengi humu naona picha zao hatakama wakifuta kama una mtu aliquote.....
Ms eyes said: Niliifuta lakini Click to expand... Mi mwenyewe sielewi ila watu wengi humu naona picha zao hatakama wakifuta kama una mtu aliquote.....
National Anthem JF-Expert Member Joined Aug 9, 2022 Posts 19,175 Reaction score 56,203 May 27, 2023 #335,179 Mda huu watu wenye wapenzi wao wame tulia kwa kochi wanakula popcorn huku wanataniana na kuangalia movie huku wamevaa ma tshirt makubwaaa nyie mpo hapa mnawaya wayaaa .. kweli u single ni kitu cha hovyo sanaa
Mda huu watu wenye wapenzi wao wame tulia kwa kochi wanakula popcorn huku wanataniana na kuangalia movie huku wamevaa ma tshirt makubwaaa nyie mpo hapa mnawaya wayaaa .. kweli u single ni kitu cha hovyo sanaa
mshamba_hachekwi JF-Expert Member Joined Mar 3, 2023 Posts 22,315 Reaction score 72,082 May 27, 2023 #335,180 Gily said: 🤣🤣🤣 ujue huyu demu hajawahi pigwa jua Click to expand... Umeanza mambo yako😂 peace is not an option
Gily said: 🤣🤣🤣 ujue huyu demu hajawahi pigwa jua Click to expand... Umeanza mambo yako😂 peace is not an option