Amesema hataki kuitwa mpenzi
Twende Blue stone π©Unatakaje mdogo wangu??
Uko poa PeterrabbitMorning Tayukwa
Nimepita naked kabisaUnapita mapema
Hii sio taarifa jamani hebu tu deal na mambo ya maana kwanza mpira wenyewe haramπππ
Labda ndotoniNimepita naked kabisa
@MjepTwende Blue stone [emoji30]
Nikunywe mtori huku ndio unasema hiyo pole.
Mi napanda ngaziUsiondoke mpaka wazindue hili jengo na twendepo kupanda lift tu πππ Waseme View attachment 2623543
Alaf we dogo unaingia mjini kimya kimya bichwa lako@Mjep
Wapi huko kasema??Amesema hataki kuitwa mpenzi
Hajui mimi natamani kuitwa mpenzi shauri yake yeye akatae sisi twala[emoji16][emoji16][emoji16]
Bado bado ground hawajamaliza kutoa hayo mabatiMi napanda ngazi
najali afyaπ
Wanazindua lini kwani??
Tulia mama mia π€£π€£
Basi utaniambia nikujeBado bado ground hawajamaliza kutoa hayo mabati
Nipooooo
Karibu babe Tee πTunda langu pendwa
Umenitamanisha!
π
SanaaaaKaribu babe Tee π
Water melon ni tunda poa sana.
Umechelewa imepandishwa hapa bonge ya selfie matata sanaNipooooo