Looh yaani bora hata wewe kuna muda una log off mimi nipo humu humu lakini bado napitwa yaani kitendo cha kwenda pm tu kurudi nakuta watu walishatuma picha na walishazifuta walishasalimiana na walishapeana michapo kama yote nabaki naduwaa tu haki huu uzi uko na speed ya mwanga