Carasco Putin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 13,347
- 37,802
Ajira zinakuja soon ntakustua uwaoneshe mazingira wasizibae zubae mitaani[emoji16]!
Amechangamka..Jirani Dogo chizii huyoo akili zake anazijua mwenyewe Walai!☺️
Sawa Aaliyyah leo niko kwa ajili yenu 😄😄😂😂Nyie pichaznu mnaona tutafaidi hebu selfika kidogo kwanza
wanakubaliaje aisee , unamlipia kodi au ?Lodge nilishaacha sshv nikipata demu naenda kwake kama hana kwake naenda huko huko kwao
Huyo ni kachachukaa kabisa!!😃Amechangamka..
wanakubaliaje aisee , unamlipia kodi au ?
Na kwako jirani..Usiku mwema wapendwa mrare unono 😴😴😴!!
Usiku mwema wapendwa mrare unono [emoji42][emoji42][emoji42]!!
Poa nilikuwa na ugeni kidogoWeka bas nimekaa hapa
Mbona mapema ndugu mje mnipe ushaur niwek dawa gani nywelezangu nimechoka kusukaUsiku mwema wapendwa mrare unono 😴😴😴!!
Sawa nasubiriPoa nilikuwa na ugeni kidogo
Pole , dawa nzuri ni tcb kwa nywele ngumu kuanzia . Au una nywele lainiMbona mapema ndugu mje mnipe ushaur niwek dawa gani nywelezangu nimechoka kusuka
Dawa za kopo zote zinanikataa dear hazikolei labda za boxPole , dawa nzuri ni tcb kwa nywele ngumu kuanzia . Au una nywele laini
Msusi kasafir na Kwa kusuka ni mbali pia siwez kusuka suka Rasta maana zile ndo zinakaa kidogo nimechoka kilasiku nabadili style ya kusuka mabutu😂😂😂Pole , dawa nzuri ni tcb kwa nywele ngumu kuanzia . Au una nywele laini
Kama mie nataka kusuka rough niwe ras tu aise . Weka mega basi .Dawa za kopo zote zinanikataa dear hazikolei labda za box
Et eeh ngoja nitafute megaKama mie nataka kusuka rough niwe ras tu aise . Weka mega basi .
Oh pole hamna wasusi wa online uendapo hata kusuka style ya muda mrefuDawa za kopo zote zinanikataa dear hazikolei labda za box