hguy platnumz
Member
- Feb 23, 2020
- 81
- 52
Mchambeeee shouzzz, ana tabia mbaya kanunua ndinga mpyaa. Huna habarii?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mr voucher mbona hanaga hio tabia ameianza lini lol!!
Haya Ngoja nitamchampa! [emoji3526]
Funga matambara kama yule wa juzi alifumwa
Mchambeeee shouzzz, ana tabia mbaya kanunua ndinga mpyaa. Huna habarii?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sahv anataka wanaopokea kwa mwezi, jobless hatuna nafasi tenaaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hebu semaa kweli.Weeeh weehhhh Relaxxxxxx shougaaangu mr vocha kwako hachomokiiiiii!! Huyu ni wako juzi jana leo kesho Keshokutwa nahata mileleeee!!
Nasemaaaajeeeeee Mj Ni wako mireree na mireree wengine wakasomeeeeh π£οΈπ£οΈπ£οΈπ£οΈπ£οΈ!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hebu semaa kweli.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nachekaaa km mwehuuu.Nasemaaaajeeeeee Mj Ni wako mireree na mireree mwingine hakunaaaa [emoji2788][emoji2788][emoji2788][emoji2788][emoji2788]!!
Mbagala πbajaji inaelekea wapi hio?
Msalimie Janjarooo, muambie anasalimiwa na coca.
Zimefika πMsalimie Janjarooo, muambie anasalimiwa na coca.
Pitia hapa basi ukitoka huko πZimefika π
Owwkey, tukimaliza tu.Pitia hapa basi ukitoka huko π
π€π€π€π€ waoooOwwkey, tukimaliza tu.
Sio picha ccy ππππNimefikaaa sis akee Samalekooo!!
Naona nimepitwaaa sis irudiweee irudiweee !!!
Mzima kabisa.Mdogo wangu mzima wewe ππ