Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,902
Nitawahi na nani[emoji849]Bado najiuguza Wigee... Bathroom sex ulishawahi Wige? Ni taamu, hasa iwe kwenye shower, huku maji yanatiririka huku... bana naumwa niache [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ankol una nini lakini? Nimecheka 😄😄😄😄😄😄 Dah
Niambie aunt yangu 😊😊Ankol una nini lakini? Nimecheka 😄😄😄😄😄😄 Dah
Leo nakohoa kabisa nina ED lakini. Natumaini kitaishia tu. Sijakohoa miaka karibu hata 15 naa na sipendi kabisa kukohoa. Ila naacha Ice cube kutumia kwenye wine, naacha vitu vya baridi kwanza. Sisi tumekuwa wa ndani kwa ndani😄😄😄😄Niambie aunt yangu 😊😊
Unaendeleaje na hali yako ya jana ?
Anko wako nipo nimshinda ndani kuna ka mvua flani huku
Kikohozi kina boa, kama baridi inakuzingua inabidi usikilizie, ivi aunt hakuna ice ya moto kwani😅😅😅😅 kama hii chini hugusi tenaLeo nakohoa kabisa nina ED lakini. Natumaini kitaishia tu. Sijakohoa miaka karibu hata 15 naa na sipendi kabisa kukohoa. Ila naacha Ice cube kutumia kwenye wine, naacha vitu vya baridi kwanza. Sisi tumekuwa wa ndani kwa ndani😄😄😄😄
hehehe mamboLodge ya 50000 afu napiga kimoja chali hapana aisee huu Ni wizi
Mambo ya Ankol si ya nchi hii 😅😅😅😅 nitafanya mpango kwa kweli.Kikohozi kina boa, kama baridi inakuzingua inabidi usikilizie, ivi aunt hakuna ice ya moto kwani😅😅😅😅 kama hii chini hugusi tena
View attachment 2552483
hehehe mambo
kisa mkasa ???Mabaya
kisa mkasa ???
😅😅😅 season hii aunt inabidi utumie vitu vya moto motoMambo ya Ankol si ya nchi hii 😅😅😅😅 nitafanya mpango kwa kweli.
kwa nini hukumuuliza kwanza . Hahaha poleni kaeni hapo mpige stori hadi keshoX wangu yupo period afu nimelipa lodge ya 50000
Ndugu wanataarifa kwamba unakohoa lakini Bantu LadyLeo nakohoa kabisa nina ED lakini. Natumaini kitaishia tu. Sijakohoa miaka karibu hata 15 naa na sipendi kabisa kukohoa. Ila naacha Ice cube kutumia kwenye wine, naacha vitu vya baridi kwanza. Sisi tumekuwa wa ndani kwa ndani[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Wacha tuiweke hii risiti ukipona utatueleza hio bathroom sex vizuriBado najiuguza Wigee... Bathroom sex ulishawahi Wige? Ni taamu, hasa iwe kwenye shower, huku maji yanatiririka huku... bana naumwa niache [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
kwa nini hukumuuliza kwanza . Hahaha poleni kaeni hapo mpige stori hadi kesho
Mzee wa yolly yolly, msalimie Tinsley.[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
lol , yolly muite[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]