kiduku mpapaso
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 1,987
- 4,873
Wewe hapo ni yupi wa kushoto au kulia[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Beverlyn ndugu mjumbe kuna ujumbe wako huku @Antonnia[emoji85] utamwambia Antonnia na wenzake kina Kiduku niliweka kubwa na sirudiiView attachment 2500444
Wa kulia 😅Wewe hapo ni yupi wa kushoto au kulia[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Beverlyn ndugu mjumbe kuna ujumbe wako huku @Antonnia
Wacha we Beverlyn nimerudi kuangalia nimekuta manyoya [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Wa kulia [emoji28]
Bibi ataniua nikikivunja[emoji16]Kitunze Sana kisije vunjika..
It's their culture way back the genesis of their civilizationMbona Masai wanasuka na kuvaa hereni na wanaua Simba?
Watakua wanamsingizia banaUmefatilia lakini maana huyu ni mtu wa 3 ananitonya mremboo wangu.
utanyamba sana usiku huu.Mi ni Zalau
Ile siku uweke mguu ulivaa kiatu simpo ya kama rangi ya pitch hiviii nilihisi kabisa kuwa mbona huu mguu kama sio mgeni kumbe I was right Hahahaaa!!Njoeni mselfike
🚮utanyamba sana usiku huu.
sura mbovu ndio Mana unapost viporo vyako humu.
We hauna adabu?? Acha utoto dogo.sura mbovu ndio Mana unapost viporo vyako humu.
Onyesha mfanoNjoeni mselfike
unanijubu jeuri?Onyesha mfano
Selfika we na huyo bodaNiko kwa boda boda, ngoja nikishuka
Mjumbe mjumbe salaam AntonniaIle siku uweke mguu ulivaa kiatu simpo ya kama rangi ya pitch hiviii nilihisi kabisa kuwa mbona huu mguu kama sio mgeni kumbe I was right Hahahaaa!!
Nimeamini msemo wa cocastic hakuna mpya humuuuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]!
Muwe na Usiku mwema wanaselfika[emoji112]
Niache kwanza dogoMimi babako unanita dogo? sema wee nibonge sana punguza kula viporo.
chibonge mwanangu una niita dogo?Niache kwanza dogo
Kuna ban huko hata bado haijaisha
Naomba utulivu