Antonnia
Shougaaaaa leo usilaleee kablaa ya mie kuwa humu, na uni blec pic yako matataaaa,
Ntakuwepo hapa saa 4 usiku, ole wako nisikukutee utanikomaa tsup.
Kaa hapa hadi mie ntakavyofikaaaa, leo nataka nitetemesheeee uziiii shougaaaa anguuu. Sasa wee chawa wangu lazimaa uwepo na kushuhudiaaa, kurudia rudiaaa sitakiiii.