Wanaume gani wamekubali? Ni wewe peke ako na Rrondo.
Usiwajumuishe wengine, kuna
Mkokaa hapa anapenda chata nyeusi sana
Ila kaka umeyumba, we hujamsifia ila umelinganisha mguu na viwili wili ya watu kweli? Ni heri hata ungesema katika picha zote zilizotumwa nimevutiwa na hii.