Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,791
- 58,402
Nakubali we ni mpole pia ni mtulivu π€π€πππππ π€£π€£π€£π€£π€£ hapo vipi unajiskiaje π€£π€£π€£π€£π€£ ila tatizo lako you don't care about others ndo hapoπ₯²π₯²weh ushindwe mie binti mpole na mtulivu .
Sina bahati tu na mahusiano hayo
nimegive up.
Thank you so muchMindset yako tu uliyonayo juu ya kuridhika na ulichonacho ni uboss tosha sana.
Ujue utajiri namba moja na unaodumu kwa mtu hapa Duniani ni amani ya moyo na nafsi!
Respect kwako boss lady
Sent using Jamii Forums mobile app
Ntaangalia kwenye simu kupitia DSTV App ila data sasa uwiii! !!Leo imewahi kweli
utacheki Denmark vs Tunisia
saa kumi
π€£π€£π€£π€£π€£ππππππππ Unabeti na kubeti wewe π€£π€£π€£ hapana kwa kweli...Ndo hivyo nimeanza hapana chezea
cheki na hapo chini
I do care tena a lotNakubali we ni mpole pia ni mtulivu π€π€πππππ π€£π€£π€£π€£π€£ hapo vipi unajiskiaje π€£π€£π€£π€£π€£ ila tatizo lako you don't care about others ndo hapoπ₯²π₯²
Mtafutaji hachoki na akichoka ujue kapata. Muda wako ukifika mambo yako yatakuwa sawa hapana shakaweh ushindwe mie binti mpole na mtulivu .
Sina bahati tu na mahusiano hayo
nimegive up.
Hahahha sijaanza kubetiπ€£π€£π€£π€£π€£ππππππππ Unabeti na kubeti wewe π€£π€£π€£ hapana kwa kweli...
π₯²π₯²π₯²π₯²π€π€π€ Daah sijapenda kwa kweli....π€£π€£I do care tena a lot
lakini si kwa watu wote
utakuja kuumia bure .
Yupo vyedi sana anakusalimia! Wakati nimekusalimia hujaitikia!Jr mzima lakini... Naona hata habar na me hunaπ€£π€£πππ
Barikiwa sanaThank you so much
nashukuru kwa mtazamo wako
be blessed [emoji120][emoji120]
Yaaan ushaanza wewe jichanganye tuuπ€£π€£π€£π€£Hahahha sijaanza kubeti
Ila soon naanza
Asante Sana kwa maneno ya busara .Myafutaji hachoki na akichoka ujue kapata. Muda wako ukifika mambo yako yatakuwa sawa hapana shaka
Sent using Jamii Forums mobile app
Uwongo sitakiπ€π€π€π€...Yupo vyedi sana anakusalimia! Wakati nimekusalimia hujaitikia!
Nani nimpe care huyo π€£π€£π₯²π₯²π₯²π₯²π€π€π€ Daah sijapenda kwa kweli....π€£π€£
Nipe hintsYaaan ushaanza wewe jichanganye tuuπ€£π€£π€£π€£
Nikuoneshe kuthibitisha nilipokusalimia???Uwongo sitakiπ€π€π€π€...
Sijapenda kauli zako.... Inabidi uwe care mana kuna watu wapo care na wewe...πππNani nimpe care huyo π€£π€£
Nani huyo anani care na simjuiSijapenda kauli zako.... Inabidi uwe care mana kuna watu wapo care na wewe...πππ