Mwanaume wa Dar[emoji16]
Mdudu wa 1500[emoji16]? AuKila kitu jumla elf tatu mduduView attachment 2397387
Utakula hela hadi utapike๐๐๐Nimecheka looh
Ila ndugu umenikabidhisha ghafla Yan hata bila mtongozo niringe ringe Nile na nauli aah sitaki. ๐๐
1.Sijaiona
Weka hapa tuone
2.Sijaiona
Weka hapa tuone
Asante Mkuu,
Mm nitapike Hela๐๐๐Kuhusu hela usijali
Utakula hela hadi utapike
Mdada mmoja tu apa mtaani ndo aliyenipa idea huwa nasuka weekend tu.Asante Mkuu,
Nimekuona
Nani huwa anakusuka?
Mke wangu kipenzi umekuja?๐๐๐๐
Mdudu buku mbili ndizi buku iringa hii [emoji38][emoji38]Mdudu wa 1500[emoji16]? Au
๐๐Amelewa huyoMke wangu kipenzi umekuja?๐
Saint Anne amekwisha maliza kazi
Kasema ukifika tu nimuite aweke dua yake mambo yawe bam bam๐
kijana mrembo mzuri kabisa , alafu unajidai mandoga. Hapo imebaki kuvaa kipedo na brauzi wahuni tukuletee moto
Unamjua lakini Nkamu asivyo bahili?Mm nitapike Hela๐๐๐
kijana mrembo mzuri kabisa , alafu unajidai mandoga. Hapo imebaki kuvaa kipedo na brauzi wahuni tukuletee moto