Namshangaa[emoji2369]Shangazi we sio wa kutumia kimeo, ebu muambie Wigelekelo akuletee kitu kipyaaa
UsimstueMienendo yake siisomi, kama katibu vile alafu anakuwa kama sio katibu, yupo kama upepo hivi [emoji3][emoji3][emoji3]
Mpelekee ile ile tuliyokubalina, itamfaaa sana ile ππNamshangaa[emoji2369]
Ama bado anaogopa muongozo
Wenye mambo yake tumuachie mwenyewe[emoji2297]
Si ndio hapo sasa jamanπole wako nikukamate na hao wadafa huyo m.city babe wangu nitakukata izo kengeleβΉοΈUmalaya nimemuacha nanii hii, mie nipo nawewe tu nje nikatafute nini tena, ufunguo wa maisha yangu π€π€π€
Nikija njia hiyoSitaki kuwatwika shida zangu watu mjomba acha nikomae nacho hadi kizime kabisa [emoji23][emoji9]!
Mabayaaaa Tangu ile siku ulidinda kunibless Wigee!!πππMambo[emoji1787]
Uko poa[emoji848]
Asante sana mdogo wangu nasubiria hapa Walau mchana wangu Utaenda vizuri [emoji8]Picha ya muda kidogo Ila ngoja nikuangalizie .
Vidole vya dhahabu
Picha ya 1&3Mim pia ccy.....Soon naanza kuuza sandals Kali Kali za kike mtumba bei cheeView attachment 2385519View attachment 2385522View attachment 2385521
Siwezi kuku cheat kipenzi changu, roho yangu mie.. Kigoma mwisho wa reli kwako nimefika πππ hayo maisha ya zamani mama la mamaaaSi ndio hapo sasa jamanπole wako nikukamate na hao wadafa huyo m.city babe wangu nitakukata izo kengeleβΉοΈ
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]!! Nasikia Ile njia ni nyembambaa sis ina tundu kama la sindanoo[emoji16][emoji16][emoji1787]
πββοΈπββοΈ
Amri imetokaYeye hajasema hivo lakini au wewe sikuhizi ndie mwanahabari na msemaji wake mkuu selfika mjomba??[emoji16][emoji16][emoji16]
Sina hio taarifa ujue!!
Sasa na dhambi hizi tutapenya kweli young Sisy hahahh[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]!! Nasikia Ile njia ni nyembambaa sis ina tundu kama la sindanoo[emoji16][emoji16][emoji1787]
Iiiigggweeeeeeeeeeeeeeee π€Έπ€Έπ€Έπ€Έπ€Έπ€Έπππππ!Nikija njia hiyo
Nakuletea
Haya utulie sasa nikupe mahaba babeπSiwezi kuku cheat kipenzi changu, roho yangu mie.. Kigoma mwisho wa reli kwako nimefika πππ hayo maisha ya zamani mama la mamaaa
Sasa hayo ndio maisha kibongo bongoFuta viwili tu katika maisha yako[emoji5]β
1. Alcohol,
2. Food,
3. Money,
4. Sex,
5. Football,
6. Music,movies
Goodmorning Team..[emoji1479]
Yolly yolly [emoji7][emoji7]
Sema kweli madamTena sikuhizi wanakwambia sex ishaingia kwenye basic needs of life!