Ingia kwenye website ya ndege husika itakupa maelekezo au ukisoma tu inakudirect then itakuleta ulipie ndani ya siku chache mfano siku tatu hadi nne, ila kama una mtu kwenye shirika husika unaweza ukampa reference no then wakakuekea muda mrefu wa kulipia hata week.