National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,175
- 56,212
Si ndio unanipa ila kunipea hadi niipambanie kama vitani, nizame chini niibuke juu, nikutie kabari ndio uachie mzigo 🍯🍯🍯Nimecheka hadi kichwa imepata moto🤣🤣🤣🤣
Sasa hun yule mtoto wetu mzungu tulimpataje pasipo kukulana?
Uzuri wa mchongo🤣Hao hawajaiona ile ya pili nyie Saint Anne ni mzureeeeeee balaaaa
Jamaa kapigwa na kitu kizito
😂😂😂😂Vitoto vyetu hivi vya 2010 kuja juu form four
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
😂😂Maboreko yako mie hayanihusu 🤣
Weeee ndio mana Pep kakoleaaa weeeeehhh mtoto jichooo jichooo jichooo 👌👌👌👌👌👌 Kiuno nyiguuuuuu❤️❤️❤️😘😘😘 wauweeeehhhhhUzuri wa mchongo🤣
Nimeiona wewe umependa ipiHao hawajaiona ile ya pili nyie Saint Anne ni mzureeeeeee balaaaa
Hako kawigi ndo kalinichanganya mdogo wangu, nimeona vzr jicho kumbe kweli ni Anne wetu😍😍Khaaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hiyo picha ya form 4
Nilikuwa na Mashavu kama maandazi😂
Vya rahisi sio vitamu kababayeeSi ndio unanipa ila kunipea hadi niipambanie kama vitani, nizame chini niibuke juu, nijutie kabari ndio uachie mzigo 🍯🍯🍯
Kesho unifanyie wepesi, nikija niikute on 😆😆😆 niizamieVya rahisi sio vitamu kababayee
Nimeiona wewe umependa ipi
Uwepesi tunaanza saa 1 ukipaona njeKesho unifanyie wepesi, nikija niikute on 😆😆😆 niizamie
😁😁😁😁😁😁😋😋😋Uwepesi tunaanza saa 1 ukipaona nje
Na ukute alituma nauli ya ndege na ya kutoleaJamaa kapigwa na kitu kizito
Akina shemeji kula dada hayupo😜Wekaaaa
Na mashemejii tuwahiii
Tena uweke za picha
Si ndio maana uko single hadi leo.Nagoooooo
Jini la kubembeleza mie sinagaa
Chizi wewe🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hako kawigi ndo kalinichanganya mdogo wangu, nimeona vzr jicho kumbe kweli ni Anne wetu😍😍
La mchongo😂Weeee ndio mana Pep kakoleaaa weeeeehhh mtoto jichooo jichooo jichooo 👌👌👌👌👌👌 Kiuno nyiguuuuuu❤️❤️❤️😘😘😘 wauweeeehhhhh
Wapee kidogo, kama zipo za 30k mashemeji wawekee za 10k zinazobaki uniletee ndaniAkina shemeji kula dada hayupo😜
Sweetheart amekataa
Nitapewa taraka nyingine sasa hivi nisipokua makini