National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,175
- 56,212
Usiku wote shangazi na asubuhi.. 🤠🤠 Anapumua mtoto wa watu yupo jikoni, si unajua mchana huu baba daddy natakiwa kupata chochote kituTake time na totoz mjomba unakwama wapi lakini?? Unapata wapi muda wa kuchat waitu?? Go Teraa teraaa
munoo!!!!
Tamaa hizo sasa mkuu Carrasco putin.. Niache na shangazi yakoAna beki 3 mzur Ila tutabadilishana tu vyumba huo mzigo siyo poa
Mie sitaki juaaaaa ! Afu sio shida zanguuuu hizoo!!Hata nanii ulisema unampenda mwisho wa siku kiko wapi [emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Safiii sanaaaa mjomba Enjoyy✋✌️✌️! kulaa maishaaa !! Hio inakua ya kumi na ngapi vilee!!??Usiku wote shangazi na asubuhi.. 🤠🤠 Anapumua mtoto wa watu yupo jikoni, si unajua mchana huu baba daddy natakiwa kupata chochote kitu
Ili zisombwe na upepo?Embu tuma tena
Dah!Mavii yakoooo!! Nilikuepo hadi ule muda wajisemesha eti kama mmelala shauri yenu.... badae ukajisemesha eti sina deniiii wakati hata hujaweka selfii yoyote
Humu mshanishindaga kitambo sana mjomba🙌🙌🙌🙌🙌🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️Tamaa hizo sasa mkuu Carrasco putin.. Niache na shangazi yako
Janja janja sana wewe!😉Dah!
Kweli mlilala😂😂😂😂
Nimepigwa na Upepo hadi nikapauka
Hapana tuma nipo kwa ajili yako hapaIli zisombwe na upepo?
Shangazi anataka vijana kama Carrasco [emoji41][emoji41]Tamaa hizo sasa mkuu Carrasco putin.. Niache na shangazi yako
Mmxxcieeewww! Una laana wewe!!Ana beki 3 mzur Ila tutabadilishana tu vyumba huo mzigo siyo poa
Putin my foot! Wewe tulikubaliana jana nakupa Saint Anne akunyooshe kwanzaShangazi anataka vijana kama Carrasco [emoji41][emoji41]
Weee ntavomtoa baru huyo HG Arudi huko huko atakolalia!Hii imepita 🤠🤠
Laana ya kitandani auMmxxcieeewww! Una laana wewe!!
Pepo trokaaaaaaa 👈!! sheeeeendwaaaaaaahh na uteketeee kabisaaaLaana ya kitandani au
Sidhan kama tutamaliza siku tutakua tumeshaachanaPutin my foot! Wewe tulikubaliana jana nakupa Saint Anne akunyooshe kwanza
Umeenda kanisanPepo trokaaaaaaa [emoji118]!! sheeeeendwaaaaaaahh na uteketeee kabisaaa
tafuta baby uenjoy maishaBaby mwenyewe Sina [emoji23][emoji23][emoji23]
Naachaje mie ! Na kutoka NishatokaUmeenda kanisan
Kuinjoi kivip yani [emoji848][emoji848]tafuta baby uenjoy maisha