HongeraNani mwingine yupo hapa MKAPA STADIUM?
From mwanza (leo morning) to Dar, nipo hapa kushudia chama langu.
SafiiiiLunch [emoji899][emoji481]View attachment 2317907
Tunakusalim pia.... Mr vocha hivi alikwenda wapiNimekumbuka enzi za vocha jamaniii!!!
Nawasalimu wapendwa!![emoji113][emoji113][emoji113]
Enjoy your evening [emoji8][emoji8]!
Hata naelewa kipenzi!! Sijui !! Ukimuona mwambie selfika tumemmisi sanaa!!😘Tunakusalim pia.... Mr vocha hivi alikwenda wapi
My everlasting beautiful Elizabeth usiyezeeka katu 😍😘💕❤️ mwenye guu la bia na hips don't lie
Na kwako pia miss.Usiku mwema wapendwa!!
If only....😊😊😊My everlasting beautiful Elizabeth usiyezeeka katu 😍😘💕❤️ mwenye guu la bia na hips don't lie
Hahaha[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Shiiindwaaa![emoji118][emoji118][emoji118][emoji118]