Nna jipya ss mamaa๐๐ . Nikiwa na jipya fasta tu crembeshi.Hahahhahahahha poleee dear!hebu njoo utublesi kidogo jamani!
Naona upo na Jf member wa baadae.Dear MAMA๐View attachment 2316373
Inshallah kaje kusumbua wazee humu๐Naona upo na Jf member wa baadae.
Hongera
Kipindi hicho wazee wote tutakua mods tutamdhibiti๐Inshallah kaje kusumbua wazee humu๐
Mwe kalivyo katundu kwanza hakataki kofia ana asili ya ubishi kwa kweli kazi mtakuwa nayo๐ ๐Kipindi hicho wazee wote tutakua mods tutamdhibiti๐
Kwema sana EliYaliyomo yanaweza kuwemo mkuu
Kwema lakini
๐๐๐๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ !!Naona upo na Jf member wa baadae.
Hongera
Mungu awajalie afya njema na kuwapa Nguvu na uhai mrefu mama na mwana kipenzi ๐!!Dear MAMA๐View attachment 2316373
Vibaya hivoo Joan!! Siku nyingi sana jakuona mimiii!Nna jipya ss mamaa๐๐ . Nikiwa na jipya fasta tu crembeshi.
Shukrani sana mpendwa๐๐ฝโค๏ธ๐Mungu awajalie afya njema na kuwapa Nguvu na uhai mrefu mama na mwana kipenzi ๐!!
Nimemiss katoto kachanga uwiiiii!! Ile ya kukesha Usiku kukageuza geuza na kubadili diapers!Shukrani sana mpendwa๐๐ฝโค๏ธ๐
Hilo zoezi la usiku jamaniii kukesha,kanalia siku kakiamua tukeshe popo na babake๐ฌ๐๐Nimemiss katoto kachanga uwiiiii!! Ile ya kukesha Usiku kukageuza geuza na kubadili diapers!
Vipi kulia usiku analia sana eehhh???
Acha tu mama aheshimiwe sana!!Hilo zoezi la usiku jamaniii kukesha ๐ฌ
Kweli kabisaHafananii kabisa na usabato !! As if ni Muslim!!
Miss you dear!!๐Kweli kabisa
Wangu analia siku akiamua yaani hata ziwa hataki ni kilio tu ๐ขAcha tu mama aheshimiwe sana!!
Sema mie 1st born wangu kazi ilikua ni kukaangalia tu kukaweka vizuri na kubadili diapers lakini alikua halii kabisa utadhani hakuna Mtoto mchanga ndani hadi watu walikua wananiuliza hivi Humu si kuna kachanga Kwani?? Yani usiku alikua halii kabisa halii hata ile kidogo!!!
Hongera sana dear!
Pole dear ndio mambo ya vichanga!!๐Wangu analia siku akiamua yaani hata ziwa hataki ni kilio tu ๐ข
๐๐ฝโค๏ธ๐Pole dear ndio mambo ya vichanga!!๐