Hahahhahahahha....Ndugu zangu wa humu naomba vote zenu Lizzy Antonnia Mjep Heaven Sent Saint Anne na wote ambao sijawataja SoC 2022 - Umeshawahi kujiuliza haya kuhusu mitandao ya kijamii?
Umeshawahi kujiuliza haya kuhusu mitandao ya kijamii?
Wachumbaaaa, danga, etc.Hahahhahahahha....
1. Kupata marafiki
2.Kupata taarifa
3.Elimu
4.Burudani
5. Vocha [emoji1787][emoji1787]
6. Kupata Wachuchu[emoji6]!!
cocastic jembe langu njoo ongezeaa
😂😂😂😂😂Watakupigia uliowataja tyuuh, wengine hatuwezagi shoboo, hadi tutajwe ndo tunajongea. Ko rudia tena kutaja.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukipata wengi nipasie hapa shoss🙇🙇!Wachumbaaaa, danga, etc.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Namuona tena hata!! 🙄🙄🙄!!
Mie muongo?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Puliiiizzzzzz class lake unalijua, tafadhari nitafutie HB,Namuona tena hata!! [emoji849][emoji849][emoji849]!!
Usijareeeeeh shouzzzzzzz [emoji182][emoji8][emoji8][emoji8]Ukipata wengi nipasie hapa shoss[emoji144][emoji144]!
Kupata breaking news, kupata umbea, kudangaHahahhahahahha....
1. Kupata marafiki
2.Kupata taarifa
3.Elimu
4.Burudani
5. Vocha 🤣🤣
6. Kupata Wachuchu😉!!
cocastic jembe langu njoo ongezeaa
Hapo penye umbea 👌👌👌👌!!!!Kupata breaking news, kupata umbea, kudanga
Kuona picha😂😂😂😂🤣🤣!!Hapo penye umbea 👌👌👌👌!!!!
Umbea mpya wamoto baada ya marehemu warumi Nani anaendeleza jukwaa?Hapo penye umbea 👌👌👌👌!!!!
Vote za nini?
Unataka kuwa lishangazi sio 😂Puliiiizzzzzz class lake unalijua, tafadhari nitafutie HB,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Si shindano walitoa jamiiforum kwenye stories of change, Kuna zawadi kuanzia m5,m3, na kuendelea wengine laki laki. Washindi ni ishirini. Uzi wangu huu hapaVote za nini?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hajanishawishiiii, namtaka yuleeee bhana shouzzzzz, khaaah.Hahahhahahahha.... Kuna huyu mambo zako kabisa unazopenda mwembamba kaenda hewani
Anafanana na kagameee[emoji6]!
Sasa why should we vote now? Maana nachojua shindano finali yake ilishapitaSi shindano walitoa jamiiforum kwenye stories of change, Kuna zawadi kuanzia m5,m3, na kuendelea wengine laki laki. Washindi ni ishirini. Uzi wangu huu hapa
SoC02 - Umeshawahi kujiuliza haya kuhusu mitandao ya kijamii?
picha kwa hisani ya mtandao(Google) Nani mnufaika wa machapisho yako? Unapoweka chapisho mtandaoni Kuna vigezo unaviangalia?, Nani mlengwa mkuu wa machapisho yako? Je, Chapisho lako linalenga umri wa mnufaika/Msomaji au linajikita zaidi katika jinsi mfano (ke/me). Yote yanaweza kuwa majibu...www.jamiiforums.com
Pm kuna mbwa mkaliNtaku prime minister