Selfika na JF: Snap it. Show it

Jiamini, nakukubali sana ujue
 
Ila wewe sikubishiagi maana watu wa mkoa fulani na nyie ni wabishi.


Ukianza kwa uongo maliza kwa uongo. Tunaita msimamo

Kwetu mnabishana, halafu mmoja akitaka kwenda mahali anamwomba mtu amshikie ubishi, aliyebaki ameshika ubishi ni mbishi kuliko mwenye ubishi. Na mwenye ubishi akija anaendeleza pale alipoishia yule aliyemshikia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…