Selfika na JF: Snap it. Show it

Msasani kuna uswazi? Usinitanie
Ballaaa ,Kuna msasani uswazi hatari inaungana na mikocheni B huku uswahilini mafuriko Kama yote,yaani vijumba vya kizamani mnooo...

Mi nakumbuka aunt yangu alikua anakaa Mikochenk B unashuka may fair ukiingia huko ndani
utakufwa yaani ni slums tupuuu!
Dar uzunguni ni Masaki,na Obey tuuu!kungine uswazi kama kawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…